iqna

IQNA

Haj Ali Akbari
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ni nguzo muhimu na ni msingi wa nguvu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, wananchi na fikra za kitawhidi za maimamu wawili wa Mapinduzi ya Kiislamu, daima zimekuwa ndizo ngao za jeshi la IRGC.
Habari ID: 3476434    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20

TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu yameleta matumaini kwa wanyonge na wapigania ukombozi wa mataifa yao kama ambavyo yametia nguvu masuala ya kiroho na kimaanawi ulimwenguni.
Habari ID: 3474917    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/11

TEHRAN (IQNA)- Baada ya kusitishwa kwa muda wa takribani miezi ishirini jijini Tehran na katika miji na maeneo mengine ya Iran kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, Swala ya Ijumaa imefanyika leo mjini Tehran ikishirikisha matabaka mbalimbali ya wananchi.
Habari ID: 3474457    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/22

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA) -Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kulikuwa na mpango hatari nyuma ya wazua ghasia za hivi karibuni nchini Iran ambapo ghasia hizo ziliratibiwa na uistikbari wa dunia miaka miwili iliyopita sambamba na kugawa silaha na kutoa mafunzo.
Habari ID: 3472240    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/29